Skip to main content

Posts

HOTUBA YA JOHN POMBE MAGUFULI - MGOMBEA URAIS CCM

Ifuatayo ni hotuba ya Mheshimiwa John Pombe Magufuli, mgombea wa CCM kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akitambulishwa rasmi mjini Dodoma, tarehe 12 Julai 2015.  Awali ya yote, napenda nichukue fursa hii adhimu sana, kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote yaliyofanyika hata kuniwezesha leo hii kuwa mgombea wa Chama cha Mapinduzi. Namshukuru kwanza, kwa kutufikisha wote hapa tukiwa buheri wa afya. Namshukuru pia, kwa kutusimamia vizuri, kwa Usalama na Amani toka kuanza kwa mchakato huu hadi hapa tulipofikia. Tunazidi kumuomba aendelee kutusimamia mpaka ushindi utakapopatikana. John Pombe Magufuli na Jakaya M. Kikwete Naomba nirudie tena kuwashukuru kwa moyo wa dhati Kamati Kuu, Wajumbe wa Halmashauri Kuu na Wajumbe wa Mkutano Mkuu kwa heshima kubwa mliyonipa kuipeperusha bendera ya CCM katika kinyang’aniro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015. Nakosa maneno sahihi na muafaka ya kuwashukuru. Ahadi yangu kwenu ni kwamba sito...
Recent posts

HOTUBA YA JOHN POMBE MAGUFULI - MGOMBEA URAIS CCM

Ifuatayo ni hotuba ya Mheshimiwa John Pombe Magufuli, mgombea wa CCM kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akitambulishwa rasmi mjini Dodoma, tarehe 12 Julai 2015.  Awali ya yote, napenda nichukue fursa hii adhimu sana, kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote yaliyofanyika hata kuniwezesha leo hii kuwa mgombea wa Chama cha Mapinduzi. Namshukuru kwanza, kwa kutufikisha wote hapa tukiwa buheri wa afya. Namshukuru pia, kwa kutusimamia vizuri, kwa Usalama na Amani toka kuanza kwa mchakato huu hadi hapa tulipofikia. Tunazidi kumuomba aendelee kutusimamia mpaka ushindi utakapopatikana. John Pombe Magufuli na Jakaya M. Kikwete Naomba nirudie tena kuwashukuru kwa moyo wa dhati Kamati Kuu, Wajumbe wa Halmashauri Kuu na Wajumbe wa Mkutano Mkuu kwa heshima kubwa mliyonipa kuipeperusha bendera ya CCM katika kinyang’aniro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015. Nakosa maneno sahihi na muafaka ya kuwashukuru. Ahadi yangu kwenu ni kwam...

JOHN POMBE MAGUFULI - WHO IS HE? - HIS CV

internet advertising AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV            HOTUBA YA MWAL. NYERERE John Pombe Magufuli   DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977. He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are Fisheries and Livestock Development, Lands, Housing and Human Settlement Development.He had also worked as the Deputy Minister for Works. Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Bi...

JOHN POMBE MAGUFULI - WHO IS HE? - HIS CV

internet advertising AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV            HOTUBA YA MWAL. NYERERE John Pombe Magufuli   DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977. He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are Fisheries and Livestock Development, Lands, Housing and Human Settlement Development.He had also worked as the Deputy Minister for Works. Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke ...

Edward Ngoyai Lowassa (Historia yake)

internet advertising Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa. HOTUBA YA MWAL. NYERERE Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).  Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu Cha Bath Nchini Uingereza aliyohitimu Mwaka 1984 Kwa udhamini Wa British Council. Ni Mume wa Regina Lowassa na Wamejaliwa Watoto Watano, watatu wa Kiume Na wawili wa Kike. Kikazi, Lowassa amekulia na kufanya kazi zaidi ndani ya CCM Na Serikali yake. Mara Baada ya Kumaliza Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam aliajiriwa na CCM Kama Katibu Msaidizina baadaye Katibu wa Wilaya. Alipata kuwa Msaidizi wa Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, Daudi Mwakawago Na Horace Ko...

Edward Ngoyai Lowassa (Historia yake)

internet advertising Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa. HOTUBA YA MWAL. NYERERE Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).  Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu Cha Bath Nchini Uingereza aliyohitimu Mwaka 1984 Kwa udhamini Wa British Council. Ni Mume wa Regina Lowassa na Wamejaliwa Watoto Watano, watatu wa Kiume Na wawili wa Kike. Kikazi, Lowassa amekulia na kufanya kazi zaidi ndani ya CCM Na Serikali yake. Mara Baada ya Kumaliza Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam aliajiriwa na CCM Kama Katibu Msaidizina baadaye Katibu wa Wilaya. Alipata kuwa Msaidizi wa Mzee Rashidi Mfaume ...

OBAMA US PRESIDENT HEADING TO HIS ANCESTRAL LAND

internet advertising US President Barack Obama has left Washington for Kenya on a trip that will also include a stop in the Ethiopian capital and a visit to the home of the African Union. The landmark visit to Obama's ancestral homeland of Kenya, where his father was born, is his first as president, and is also the first time a sitting US president will visit Ethiopia and the AU's headquarters in Addis Ababa. The first African-American president of the US is expected to address regional security issues and trade, and also touch on matters relating to democracy, poverty, and human rights in the region. Home Coming   Joining him on the trip is National Security Adviser Susan Rice, foreign policy aide Ben Rhodes and White House spokesman Josh Earnest. Before heading off for the trip, Obama's fourth to Africa since taking office, he spoke about the promise of, and difficulties on, the continent. "Despite its many challenges - and we have to be clear-eyed about al...